Unlimited Downloads

BALOTELLI AMVALISHA PETE MPENZI WAKE

Fanny Neguesha akiwa amevaa jezi kama anayovaa mpenzi wake Mario.

Mshambuliaji  wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha aliyemvisha pete.
Mario Balotelli akiwa na mpenzi wake, Fanny Neguesha.
 Mpenzi wa Mario Balotelli, Fanny Neguesha.
MSHAMBULIAJI wa Italia na AC Milan, Mario Balotelli ametangaza kumchumbia mpenzi wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus.
Mchezaji huyo mtata wa AC Milan amethibitisha hilo katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuposti picha ya mkono wa mpenzi wake huyo ikiwa na pete ya uchumba jana jioni.

Balotelli ameambatanisha picha na ujumbe usemao: "Amesema ndiyo.. Ndiyo muhimu zaidi katika maisha yangu. Hilo ndilo lilikuwa swali langu! Nakupenda, na furahia siku ya kuzaliwa kwao pia! Je t'aime my WIFE'.
File download Mp3 Full Album kami compres menggunakan rar dan disimpan melalui hosting 4shared.com dan mediafire.com, file rar tidak menggunakan Password. How To Download
UangDownload.Com UangDownload.Com

0 comments:

Post a Comment